MWENYEKITI WA ECD Dr .BLASIOUS RUGURI AENDESHA HARAMBEE YA UJENZI WA OFISI YA CONFERENCE MJINI BUNDA

Dr. Blasious Ruguri ambaye ndiye mwenyekiti wa Division yetu ya Afrika Mashariki na kati amefanya harambee kubwa katika mji wa Bunda, ambapo mitaa 18 ya Kanda ya Bunda, Mwibara, Visiwani Saragana, Ikizu na Kanda ya Mugumu wameshiriki katika Harambee hiyo ya Ujenzi wa ofisi ya Conference.
Walioshiriki katika ofisi hiyo ni pamoja na Mwenyekiti wa Unioni ya Kaskazini mwa Tanzania Dr.Godwin Lekundayo na Vingozi mbalimbali wa idara za jimbo la Mara. Dr. Ruguri alisema'Tukishikamana wote pamoja na kutoa sadaka ya upendo tutamaliza jengo la ofisi ya Conference'
Dr.Ruguri akikagua gwaride la Vijana wa PF kanda ya Bunda  akiongozwa na  Teresia Msafiri


Vijana wa PF Olymus kikosi cha wasichana wakitoa heshima kwa mgeni rasmi



Master guide wakiwa makini kwa ajiri ya kuhakikisha programu hizo zinakwenda kama zilivyopangwa

Mgeni rasmi na wachungaji mbalimbali wakiwa katika mstari wakipokea heshima toka kwa vijana wa PF




Dr. Blasious Ruguri akisaini kitabu cha Wageni katika ofisi ya Wazee wa kanisa Balili

Dr Godwin Lekundayo akisaini kitabu cha wageni

Master guide Mugini akiwa mbele ya mgeni rasmi wakati wa kusaini kitabu cha wageni



katika viwanja vya kanisa Balili watu wakiwa wamekaa wakimsikiliza Dr Ruguri wakati wa Harambee



Mkuu wa Mawasiliano wa Conference pamoja na IT wa Conference wakihakikisha hakuna tukio linalowapita




Kwaya ya Balili SDA wakimtukuza Mungu katika Changizo hilo la ujenzi wa Conference

Kwaya ya Bunda mjiniSDA wakimtukuza Mungu katika Changizo hilo la ujenzi wa Conference

Miembeni SDA Choir

Mch E. Sando katibu mkuu wa Conference

Mhazini wa Coference

Mch.Ojwangi Mwenyekiti wa Conference

Dr Lekundayo Mwenyekiti wa NTUC



Dr.Ruguri akisisitiza juu ya TMI (Total Member Involvement) Ushirikishwaji wa kila mshiriki kikamilifu

Kilipozungumuzwa Kiingereza Pr.S.Mtaki alihakikisha kiswahili kunakuwepo




Luka 19:28-34 Yesu alipowatuma wanafunzi wawili kwenda kumfungua mwana punda



Kabla ya kuandika ahadi kwenye karatasi zilizogawiwa kwa washiriki wote wito ulitolewa wa wachungaji kuwaombea washiriki.




Washiriki wakileta Sadaka na michango yao kwa Bwana



Mrs. Elly Mshitu akitoa mkono wa kwa heli kwa Dr.Ruguri

Mrs. Masunga akikabidhi zawadi kwa Dr/Lekundayo

Mama Nyamagwila akitoa zawadi kwa Mwenyekiti wa Conference ya Mara


 
Mpiga picha wa Blog Zacharia Charles Mkuu wa Mawasiliano Bunda mjini SDA Church







You may also like

No comments: