UJENZI WA UZIO WA KANISA

Kutokana na kanisa letu la Bunda mjini kuwa kati ya mji  kumekuwa na changamoto nyingi za mazingira yetu kutokana na kutokuwa na uzio unaozunguka kanisa hivyo kufanya eneo la kanisa kutumika isivyo halali kama vile wananchi kuuzia bidhaa mbalimbali katika eneo la kanisa na kuliacha likiwa chafu , wizi wa vitu mbalimbali, kuharibu mali ya kanisa. Hivyo mwaka jana ukaanza mradi wa kuweka uzio hatua ya kwanza ikiwa ni msingi na sasa ukuta unaendelea sambamba na ujenzi wa vibanda. tuiombee kazi hii.

MAFUNDI WAKIWA MA MZEE WA KANISA MOGEREJA WAKIENDELEA NA UJENZI WA UZIO

MZEE MANGO NA MOGEREJA PAMOJA NA MAFUNDI WAKISIMAMIA KAZI HIYO








BAADHI YA MITI ILIKATWA ILI KUPICHA UJENZI WA UZIO











KIONGOZI WA MAWASILIANO WA KANISA BW.ZACHARIA AKIANGALIA MAFUNDI WAKIENDELEA NA UJENZI











You may also like

No comments: