ZIARA YA MWENYEKITI WA DIVISION YA ECD

Mwenyekiti wa  ECD Dr. Blasious Ruguri aingia jioni ya leo katika mji wa Bunda. Mwenyekiti huyo amepokelewa na Washiriki wa makanisa ya Bunda katika Daraja la Suguti lililoko mpakani mwa Wilaya ya Bunda na Butiama.
Dr. Ruguri atakutana na washiriki wote wa Kanisa la Waadventista wa Sabato wa Kanda ya Bunda,Ikizu, Ikizu, Mwibara na Kanda ya Visiwani katika viwanja vya kanisa la Waadventista wa Sabato Balili - Bunda kesho 18/07/2016 saa 2 Asubuhi.
Dr Ruguri akipokea maelezo ya ukaribisho toka kwa Mwenyekiti wa Unioni ya Kaskazini mwa Tanzania Dr.Lekundayo 
Mwenyekiti wa union Dr Lekundayo akitoa ombi la kumshukuru Mungu kwa kumlinda mgeni katika safari yote.
Mwenyekiti wa Mara Conference  Mch.E.Ojwang akimkabidhi kitabu cha maelezo ya kazi mwenyekiti wa ECD

Mwenyekiti wa Mara Conference  Mch.E.Ojwang akimkabidhi kitabu cha maelezo ya kazi mwenyekiti wa Union ya kazikazini mwa Tanzania.



You may also like

No comments: