SABATO YA MWISHO YA MCH. ADAM MALINDI BUNDA MJINI

Sabato ya 16/07/ 2016 Hii ilikuwa ni sabato ya mwisho kwa mchungaji wetu wa mtaa mchungaji Adamu Malindi  kusali katika kanisa la Bunda mjini kama mchungaji wa mtaa wa Miembeni baada ya kupata uhamisho kwenda mtaa wa Ururi - Mgango

Bunda mjini sda choir



kutokana na kukuwa kwa kanisa wengine hukaa nje



mchungaji Malindi akisisitiza jambo katika ibada hiyo



You may also like

No comments: