SIMANZI BUNDA MJINI WASHIRIKI WAWILI WAFARIKI

Kanisa la Waadventista wasabato Bunda mjini limepatwa na msiba wa kuwapoteza washiriki wake wawili waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando ambao ni Mzee Clifford Rugora na Bw. Eliudi Samweli Maende Maende

Eliudi Samweli Mahende

mzee Rugora





Mazishi ya mzee Clifford Rugora yalifanyika Jumamosi mchana na ibada ya mazishi iliendeshwa na Pr. Masunga mchungaji wa mtaa wa Balili

Pr. Masunga


ndg wa Marehemu Rugora wakiwa katika ibada


mwili wa marehemu ukishushwa katika kaburi





Bw. Eliudi Samweli Mahende yeye alizikwa Siku ya Jumapili kijijini kwao Mcharo na ibada ya mazishi ilifanyika kanisani Bunda mjini na iliendeshwa na Pr.LAMECK NYAMJULIRWA

ELIDI SAMWELI MAHENDE

                                                   

WANAFAMILIA WAKIIMBA WIMBO





BUNDA MJINI SDA CHOIR AMBAYO MKE WA MAREHEMU NI MWIMBAJI


WAOMBOLEZAJI WAKIWA KANISANI




MZEE SAMSONI MOGEREJA AKITOA SOMO KIJIJINI MCHARO



You may also like

No comments: